Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO. https://t.co/yRxCGcvyPE— Halima James Mdee (@halimamdee) April 9, 2017
Namuheshimu sana Mch.Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika. https://t.co/yRxCGcvyPE— Halima James Mdee (@halimamdee) April 9, 2017