I congratulate you President @UKenyatta for being reelected as President of Kenya. I thank you for the invitation to attend your inauguration. I regret I will not be able to make it due to a prior commitment. I wish you all the best and success in your second term.— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) November 28, 2017
Nakupongeza Rais @UKenyatta kwa kuchaguliwa tena kuongoza nchi rafiki ya Kenya. Nakushukuru kwa mwaliko wa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwako. Nasikitika sitaweza kuhudhuria kutokana na kuingiliana kwa majukumu. Nakutakia kila la kheri katika awamu yako ijayo.— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) November 28, 2017