Aidha, vyombo vya dola viwasake wale wote waliohusika na tukio hili la kinyama na kuwafikisha ktk mikono ya sheria.2/2— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) September 7, 2017
Nimepokea kwa masikitiko tukio la kupigwa risasi Mh.Tundu Lissu, namuombea kwa Mwenyezi Mungu aweze kupona haraka. 1/2— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) September 7, 2017