JERRY MURO COMPLETE BOND OF DISENGAGEMENT FOOTBALL ACTIVITIES Natabasamu kwa kuwa Leo 02/07/2017, nimemaliza kutumikia Adhabu "DHALIMU" Kikombe nilichonywea mimi na wao wamekipokea wanaanza kunywea humo, Maisha ni kama Gwaride Kiongozi akisema Nyumaa Geuka wa mbele anakuwa wa MWISHO na wa mwisho anakuwa wa KWANZA, Vumilia ndugu YANGU @hajismanara nakuaubiria "USWAHILINI" Kaeni tayari kwa ujio Mpya @yangasc @simbasc @azamfc A post shared by jerry muro (@jerrymuro1980) on Jul 2, 2017 at 9:06am PDT Tags : NEWS Facebook Twitter Google+ Pinterest Posted by : Unknown Add Comment Monday, July 3, 2017