Majibu mubashara.. kwa aliyekuwa MHAMASISHAJI WA KATIBA MPYA mwanasiasa CHIPUKIZI. pic.twitter.com/mwqxiAEjO0— Halima James Mdee (@halimamdee) July 22, 2017
CCM haina pesa. RAIS hana pesa. Serikali inakuwanya kodi toka kwa wananchi ili itatue kero za w'nchi.2020 mtaeleza mlivyozitumia pesa zetu. https://t.co/dSN6cwQYu0— Halima James Mdee (@halimamdee) July 23, 2017