Ukweli kuhusu Kiongozi huyu Wa wanyonge TARATIBU unaanza kudhihirika , Chato hapa,Punda wakipata Huduma ya traffic lights 😀 pic.twitter.com/zdKIEYfkPN— peter msigwa (@MsigwaPeter) June 26, 2017
Kama Mungu aliyetuumba anatusamehe, JPM NI Nani awahukumu watoto wanopata ujauzito, watoto hawa wanahitaji nafasi nyingine! Okoa taifa.— peter msigwa (@MsigwaPeter) June 24, 2017