read it more the post of hussein bashe Hongera Emmanuel Elibariki "Ney wa Mitego" na pia pole zangu za dhati. Bob Marley aliwahi kusema maneno haya "Emancipate yourself from mental slavery none but ourselves can free our mind..." Wasanii wana sehemu kubwa sana ya kubadili fikra za watu, Na muziki ni silaha muhimu kwenye mabadiliko ya fikra na safari ya kujengea watu Uhuru wa kutoa maoni . Nampongeza Rais kwa kumuelekeza Waziri Mwakyembe kuruhusu Nyimbo ya Ney na mawazo yake. Kuzuia watu kuongea ama kutoa fikra zao hadhari ni hatari kwa jamii yetu. Ni lazima serikali ijenge daraja la kupitisha kujadili maoni ya watu. Hiyo ni njia bora ya kujenga Taifa imara. Muziki ni burudani, muziki ni elimu, muziki ni umoja na muziki ni nyezo inayounganisha jamii. @naytrueboy A post shared by Hussein Mohammed Bashe (@bashehussein) on Mar 28, 2017 at 12:43am PDT Tags : NEWS Facebook Twitter Google+ Pinterest Posted by : Unknown Add Comment Tuesday, March 28, 2017 Related Posts :SIMBA CLUB VS TANZANIA PRISONS CHECK THIS OUT SIMBA FC VS TANZANIA PRISON CLICK TO WATCH (adsbygoogle = window.adsbygoogle || … Read More...WATCH LIVE IN HD Arsenal Vs Tottenham Hotspur Live Stream HD | CLICK TO WATCH (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); … Read More...CLICK TO WATCH Live stream sport IN HD | #PremierLeague | West Bromwich Albion vs Chelsea | Livestream | 18-11-2017 West Bromwich Albion vs Chelsea | Livestream (adsbygoogle = window.adsbygoogle ||… Read More...WATCH LIVE IN HD Manchester United Vs Newcastle United Live Stream CLICK HERE November 18, 2017, 2:02 pm The Premier League is back with some huge matches Manchester United ha… Read More...THIS IS HOW SIMBA SPORT CLUB IS GOING TO PLAY (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); … Read More...